Kikadara

Kikadara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakadara. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kikadara imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikadara iko katika kundi la Plateau.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search